Kiswahili

Unabii wa Simeoni

Jumamosi, Desemba 29, 2018 Siku ya Tano katika Oktava ya Noeli Masomo ya Leo Mtakatifu Tomaso Becket, Askofu na Shahidi – Kumbukumbu ya Hiari “Bwana, sasa mwache mtumishi Wako aende kwa amani; neno

Furaha Kuu ya Mama Yetu Mbarikiwa

Jumamosi, Desemba 22, 2018 Jumamosi ya Juma la Tatu la Majilio Masomo ya Leo Watakatifu Wote wa Leo “Nafsi yangu inatangaza ukuu wa Bwana; roho yangu inafurahi katika Mungu Mwokozi wangu.  Kwa maana

Mama Yetu Mbarikiwa na Imani Yake Kamilifu

Alhamisi, Desemba 20, 2018 Alhamisi ya Juma la Tatu la Majilio Masomo ya Leo Watakatifu Wote wa Leo Lakini Maria akamwambia malaika, “Hili lawezekanaje, kwa kuwa sijakutana kimwili na mwanamume?” Malaika akamjibu, “Roho Mtakatifu

Kushangazwa na Huruma ya Mungu

Jumatatu, Desemba 10, 2018  Jumatatu ya Wiki ya Pili ya Majilio Masomo ya Leo Watakatifu Wote wa Leo Ndipo wote wakashikwa na mshangao, wakamtukuza Mungu, na wakiwa wamejawa na kicho, wakasema, “Leo tumeona