Kiswahili

Mungu Anazungumza na Moyo Wako

Ijumaa, Desemba 16, 2016 Masomo ya Ijumaa ya Juma la Tatu la Majilio Watakatifu wa Leo “Ninyi mlituma wajumbe kwa Yohane, naye akaushuhudia ukweli. . . . Yohane alikuwa taa iliyokuwa inawaka na

Misukumo ya Mungu

Alhamisi, Desemba 15, 2016 Masomo ya Alhamisi ya Juma la Tatu la Majilio Watakatifu wa Leo (Watu wote waliosikiliza, pamoja na watoza ushuru, waliokuwa wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohane, waliikiri haki ya Mungu;

Usikwazwe na Bwana Wetu

Jumatano, Desemba 14, 2016 Masomo ya Jumatano ya Juma la Tatu la Majilio Mtakatifu Yohane wa Msalaba, Padri na Mwalimu wa Kanisa – Kumbukumbu Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane yale mliyoyaona na kuyasikia:

Kujiona katika Mwenye Dhambi

Jumanne, 13 Desemba 2016 Masomo ya Jumanne ya Juma la Tatu la Majilio Mtakatifu Lusia wa Sirakusa, Bikira na Shahidi – Kumbukumbu   Yesu akawaambia, “Amina, nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia