Kiswahili

Wasiwasi wa Dhamiri Uliopitiliza

Septemba 5, 2020 Jumamosi ya Wiki ya Ishirini na Mbili ya Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo Mtakatifu Mama Teresa wa Calcutta—Kumbukumbu Yesu alipokuwa akipita katika shamba la nafaka siku ya Sabato, wanafunzi

Divai Mpya katika Viriba Vipya

Septemba 4, 2020 Ijumaa ya Juma la Ishirini na Mbili la Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo “Hakuna mtu anayemimina divai mpya katika viriba vikuukuu. Akifanya hivyo, divai mpya itavipasua viriba, nayo itamwagika,

Nenda Mpaka Kilindini

Septemba 3, 2020 Alhamisi ya Juma la Ishirini na Mbili la Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo Mtakatifu Gregori Mkuu, Papa na Mwalimu wa Kanisa—Kumbukumbu Alipomaliza kusema, alimwambia Simoni, “Nenda mpaka kilindini, mkashushe

Kumtamani Yesu Daima

Septemba 2, 2020 Jumatano ya Wiki ya Ishirini na Mbili ya Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo Kulipopambazuka, Yesu aliondoka akaenda mahali pasipo na watu. Umati wa watu ukaenda kumtafuta, nao walipomfikia, walijaribu

Mapepo Yapo Kweli

Septemba 1, 2020 Jumanne ya Wiki ya Ishirini na Mbili ya Kipindi cha Mwaka Masomo ya Leo “Una nini nasi, Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninajua Wewe ni nani–Mtakatifu wa Mungu!” Yesu

Kukutana na Kristo katika Wengine

Agosti 31, 2020 Jumatatu ya Juma la Ishirini na Mbili la Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo “Amina, nawaambia, hakuna nabii anayekubaliwa katika nchi yake mwenyewe.”  Luka 4:24 Je, umewahi kuhisi kwamba ni

Kuishinda Hofu ya Mateso

Agosti 30, 2020 Jumapili ya Ishirini na Mbili ya Mwaka, Mwaka A Masomo ya Leo Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Nenda nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya Mungu,

Uaminifu katika Mateso

Jumamosi, Agosti 29, 2020 Kumbukumbu ya Mateso ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Masomo ya Leo Yule msichana akarudi haraka mbele ya mfalme na kutoa ombi lake, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohane Mbatizaji

Mafuta ya Mapendo

Agosti 28, 2020 Ijumaa ya Wiki ya Ishirini na Moja ya Kipindi cha Kawaida Masomo ya Leo Mtakatifu Augustino wa Hippo, Askofu na Mwalimu wa Kanisa—Kumbukumbu “‘Bwana, Bwana, tufungulie mlango!’ Lakini akajibu, ‘Amina,

Yesu Anakuja!

27 Agosti 2020 Alhamisi ya Wiki ya Ishirini na Moja ya Mwaka Masomo ya Leo Mtakatifu Monika—Kumbukumbu “Kesheni! Kwa maana hamjui Bwana wenu atakuja siku gani.”  Mathayo 24:42 Je, ikiwa leo ndiyo siku