Kuitikia Wito
Jumamosi, 21 Septemba 2019 Sikukuu ya Mtakatifu Mathayo, Mtume na Mwinjili Masomo ya Leo Yesu alipoendelea kutoka hapo, alimwona mtu aitwaye Mathayo ameketi kwenye kituo cha ushuru. Akamwambia, “Nifuate.” Naye akainuka, akamfuata. Mathayo