Kiswahili

Mungu Hakati Tamaa Kamwe na Wewe

Desemba 10, 2019 Jumanne ya Juma la Pili la Majilio Masomo ya Leo Mama Yetu wa Loreto—Kumbukumbu ya Hiari “Vivyo hivyo, si mapenzi ya Baba yenu wa mbinguni kwamba mmoja wa wadogo hawa

Unyenyekevu Humwandalia Kristo Njia

8 Desemba 2019 Jumapili ya Pili ya Majilio Masomo ya Leo (Tanbihi: Sherehe ya Bikira Maria Mwenye Heri Mkingiwa Dhambi ya Asili inahamishiwa tarehe 9 Desemba nchini Marekani) “Sauti ya mtu anayepaza sauti

Tunu ya Mungu

Desemba 7, 2019 Jumamosi ya Wiki ya Kwanza ya Majilio Masomo ya Leo Mtakatifu Ambrosi, Askofu na Mwalimu wa Kanisa—Kumbukumbu “Mmepokea bure; toeni bure.” Mathayo 10:8b Ni nini ambacho tumepokea “bure?” Naam, tumepokea

Nataka Kuona

Ijumaa, Desemba 6, 2019 Ijumaa ya Juma la Kwanza la Majilio Masomo ya Leo Mtakatifu Nikolao, Askofu—Kumbukumbu ya Hiari “Na itendeke kwenu kadiri ya imani yenu.” Nayo macho yao yakafumbuliwa. Yesu akawaonya kwa

Sikiliza, Elewa, Tenda

Desemba 5, 2019 Alhamisi ya Juma la Kwanza la Majilio Masomo ya Leo “Kila anayesikiliza maneno yangu haya na kuyatenda atakuwa kama mtu mwenye hekima aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.  Mvua ikanyesha,

Yesu Anajali Hata Mambo Madogo Madogo

Desemba 4, 2019 Jumatano ya Juma la Kwanza la Majilio Masomo ya Leo Mtakatifu Yohane wa Dameski, Padre, Mtawa na Mwalimu wa Kanisa—Kumbukumbu ya Hiari Yesu akawaita wanafunzi Wake, akasema, “Moyo Wangu unawaonea

Unyenyekevu Mbele ya Fumbo la Imani

Desemba 3, 2019 Jumanne ya Wiki ya Kwanza ya Majilio Masomo ya Leo Mtakatifu Fransisko Ksaveri, Padre—Kumbukumbu “Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa ingawa umewaficha wenye hekima na elimu mambo

Imani katika Ekaristi Takatifu Sana

Desemba 2, 2019 Jumatatu ya Juma la Kwanza la Majilio Masomo ya Leo “Bwana, sistahili Wewe kuingia chini ya paa langu; sema neno tu na mtumishi wangu atapona.”  Mathayo 8:8 Maneno haya tunayoyafahamu

Majilio Yanaanza!

Desemba 1, 2019 Jumapili ya Kwanza ya Majilio Masomo ya Leo “Kwa hiyo, kesheni! Kwa maana hamjui Bwana wenu atakuja siku gani.”  Mathayo 24:42 (Mwaka A) “Jihadharini!  Kuweni macho!” Marko 13:33a (Mwaka B)