Kiswahili

Kishawishi Kinachotokana na Mazoea

Machi 27, 2020 Ijumaa ya Juma la Nne la Kwaresima Masomo ya Leo Yesu alipokuwa akifundisha katika eneo la hekalu, alipaza sauti akasema, “Mnanijua na pia mnajua ninakotoka. Hata hivyo, sikuja kwa matakwa

Ushuhuda wa Matendo ya Mungu

Machi 26, 2020 Alhamisi ya Juma la Nne la Kwaresima Masomo ya Leo “Matendo ambayo Baba alinipa niyatimize, matendo haya ninayofanya yananishuhudia kwamba Baba amenituma.”  Yohane 5:36 Yale matendo aliyofanya Yesu yanatoa ushuhuda

Kupoozwa na Dhambi

24 Machi 2020 Jumanne ya Juma la Nne la Kwaresima Masomo ya Leo Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako, uende.”  Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaenda.  Yohane 5:8–9 Hebu tuangalie mojawapo

Muujiza wa Kuvutia

Machi 23, 2020 Jumatatu ya Juma la Nne la Kwaresima Masomo ya Leo Mtakatifu Turibio wa Mogrovejo, Askofu—Kumbukumbu ya Hiari Yesu akamwambia, “Msipoona ishara na maajabu, hamtaamini.”  Yule afisa wa mfalme akamwambia, “Bwana,

Neema katika Mambo ya Kawaida

Machi 22, 2020 Jumapili ya Nne ya Kwaresima (Mwaka A) Masomo ya Leo Yesu alipokuwa akipita, alimwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa… …alitema mate chini, akatengeneza tope kwa yale mate, akampaka tope hilo

Kuachana na Kiburi

21 Machi 2020 Jumamosi ya Juma la Tatu la Kwaresima Masomo ya Leo “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali; mmoja alikuwa Farisayo na mwingine mtoza ushuru. Farisayo akasimama mahali pake na kusali hivi

Usisubiri Kufanya Tendo Kuu Kuliko Yote!

Machi 20, 2020 Ijumaa ya Juma la Tatu la Kwaresima Masomo ya Leo Mmoja wa waandishi alimjia Yesu na kumwuliza, “Ni amri ipi iliyo ya kwanza kati ya amri zote?”  Yesu akajibu, “Ya

Imani Isiyoyumba Katikati ya Mkanganyiko

Alhamisi, 19 Machi 2020 Sherehe ya Mtakatifu Yosefu, Mume wa Maria Masomo ya Leo Yosefu, mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria mke wako nyumbani kwako. Kwa maana mtoto aliyetungwa mimba ndani yake ni

Wakati Alioupanga Mungu

18 Machi 2020 Jumatano ya Juma la Tatu la Kwaresima Masomo ya Leo Mtakatifu Sirilo wa Yerusalemu, Askofu na Mwalimu wa Kanisa—Kumbukumbu ya Hiari Yesu aliwaambia wanafunzi wake: “Msidhani kwamba nimekuja kutangua sheria